Supervising and administering Fund resources

a Tanzania Forest Fund role ... More

Highlights and Resources

Tangazo la kuitisha Maandiko ya Mradi - 2016/2017

Mfuko unakaribisha maandiko ya miradi ya kuomba ruzuku kutoka watu binafsi, vikundi vya jamii, asasi zisizo za serikali, jumuiya/taasisi za kidini, asasi/taasisi za mafunzo, asasi zisizo za mafunzo, taasisi za utafiti, wizara, idara, na wakala za serikali, pamoja na mamlaka za serikali za mitaa. Hata hivyo, vikundi/asasi/taasisi zote zinatakiwa kuwa zimesajiliwa na mamlaka zinazotambulika kisheria. Waombaji binafsi wanatakiwa kuwa na wadhamini wawili wanaotambulika/wanaoaminika.

Tangazo_la_kuitisha_Maandiko_ya_Miradi_2016

  • Google+
  • PrintFriendly

Categories

Video Widget

Latest Posts

Mission and Vision

Vision
To be a long term and sustainable source of funding for sustainable management of forest resources for the benefit of present and future…

Read More »