Promote and assist in the development of community forestry

a Tanzania Forest Fund objective ... More

Highlights and Resources

Mwongozo wa Kuandaa Maandiko ya Mradi na Utaratibu wa Kutoa Ruzuku

kwa ajili ya kutekelezea miradi na kusimamia ruzuku hiyo zinaheshimika kwa uwazi huo na uadilifu. Aidha, kuwa na utaratibu sanifu kunasaidia kudumisha mawasiliano muhimu kati ya waombaji wa ruzuku na
waliopatiwa ruzuku hiyo.

Mwongozo na utaratibu huu vinaonesha jinsi ya kuitisha maombi ya ruzuku, kuyaidhinisha maombi hayo, kutoa ruzuku, kuperemba na kutathmini utekelezaji wa miradi. Ni matumaini yangu kuwa mwongozo na utaratibu huu vitaongeza ufanisi wa kutumia ruzuku na hivyo kuyafikia malengo ya Mfuko ya kuboresha, kuhifadhi na kusimamia rasilimali misitu na kuchangia katika kuboresha hali ya maisha ya jamii.

Mwongozo na utaratibu huu vinatakiwa kuzingatiwa kwa makini ili isiwakanganye waombaji ruzuku. Aidha, waombaji ruzuku kupitia jitihada zao za kuimarisha uhifadhi endelevu na usimamizi wa rasilimali misitu wanahimizwa wasome mwongozo na utaratibu huu kwa makini ili waweze kutayarisha maaandiko ya miradi yenye ushindani pindi Mfuko unapoitisha maombi ya ruzuku. Kwa niaba ya Mfuko wa Misitu Tanzania, napenda kuwahimiza wadau wote watumie fursa ya kupata ruzuku itolewayo na mfuko ili kuimarisha uhifadhi endelevu na usimamizi wa rasilimali misitu kwa faida ya vizazi vilivyopo na vijavyo.

Mwongozo_wa_Kuandaa_Maandiko_ya_Mradi

  • Google+
  • PrintFriendly

Categories

Video Widget

Latest Posts

Mission and Vision

Vision
To be a long term and sustainable source of funding for sustainable management of forest resources for the benefit of present and future…

Read More »